Watoto tatu wa familia moja wamefariki dunia katika Kijijii cha Ngaratati, Kata ya Makiwaru wilayani Siha walipokuwa wakiogelea kwenye lambo lilijengwa na Serikali kwa ajili ya mifugo kupata maji.
Dar es Salaam. Zikiwa zimesalia siku 13 kuelekea uchaguzi wa viongozi wa mabaraza ya Chadema, baadhi ya wagombea wameanza kurejesha fomu. Wagombea waliorudisha fomu ni Sharifa ...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amejibu tuhuma zilizotolewa na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman kuhusu ufisadi na ongezeko la deni la taifa lisiloendana na kazi zinazofanyika.
Hadi sasa, idara hiyo ya polisi, haijatoa taarifa zaidi kuhusu chanzo cha ajali, haijulikani kama watu wawili waliokufa walikuwa wafanyakazi au abiria waliokuwa kwenye ndege.
Akizungumza katika Kituo cha Televisheni cha Telemarathon nchini Ukraine, Zelensky alikiri kuwepo visa vya wanajeshi hao kutoroka mapigano hususan mwaka 2024, hata hivyo amesema idadi ...