Marekani inaishawishi Urusi ikubali kumaliza mzozo na Ukraine. Rais Putin wa Urusi amesema mzozo huo utakoma kwa masharti, ...
Sudan imetangaza kusitisha uingizwaji wa bidhaa zote kutoka Kenya, baada ya nchi hiyo jirani mwezi Februari kutoa jukwaa kwa ...
Ijumaa iliyopita, Zelensky na Trump walizozana hadharani katika Ikulu ya White House - ambapo Trump alisema Zelensky hakuwa ...
Katika hatua madhubuti za kukabiliana na changamoto za maji AMCOS walitoa wito wa kuendelea kushirikiana, kuhamasisha ...
KENYA: TAKRIBAN watu wanne wamejeruhiwa kwa risasi baada ya polisi kukabiliana na waandamanaji katika kambi ya wakimbizi ...
Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wameonesha kupinga tangazo la kuundwa kwa serikali mbadala ya Sudan na waasi ...
Siku ya Jumatatu wizara ya mambo ya nje ya Sudani ililaani vikali uidhinishaji wa viongozi wa Kenya wa hati ya kisiasa ... vuguvugu la Ukombozi wa Watu wa Sudan-Kaskazini la adui wao wa zamani ...