Rais Samia Suluhu Hassan amesema mwaka 2024 Tanzania ilikumbwa na jinamizi la ajali za barabarani, akieleza idadi ya watu ...
Baadhi ya wakazi wa Mkuranga mkoani Pwani wametaka kuongezwa kasi ya kuboresha ujenzi wa barabara ndani za jimbo upatikanaji ...
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imewaachia huru wanachama watatu wa Chadema akiwamo aliyekuwa Katibu wa Jimbo la Njombe, George ...
Familia ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, Jaji Frederick Werema imesema kifo chake kimeacha simanzi na ...
Wakati zimesalia saa chache kuumaliza mwaka 2024 na kuingia mwaka mpya wa 2025, makamanda wa polisi wa mikoa, wamepiga ...
Rais Samia Suluhu Hassan ametekeleza ahadi yake ya kugawa miche 500,000 ya minazi kwa wakulima wa mikoa ya Lindi na Mtwara.
Ndege ya Shirika la Canada Express imepata ajali wakati ikitua katika uwanja wa Kimataifa wa Halifax Stanfield uliopo Nova ...
Serikali imeeleza kuwa upelelezi wa kesi ya kusafirisha kilo 332 za heroini na methamphetamine inayomkabili mvuvi Ally Ally ...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka wananchi kujiepusha kujiandikisha mara mbili au kutoa taarifa za uongo wakati ...
Wakati Wazanzibari wakikaribia kuadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi, historia inamkumbuka sultani wa mwisho wa visiwa hivyo, ...
Wakati zimebaki saa chache kumalizika kwa mwaka 2024, Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza mipango yake ya kuwekeza ...