Sudan imetangaza kusitisha uingizwaji wa bidhaa zote kutoka Kenya, baada ya nchi hiyo jirani mwezi Februari kutoa jukwaa kwa ...
Siku ya Jumatatu wizara ya mambo ya nje ya Sudani ililaani vikali uidhinishaji wa viongozi wa Kenya wa hati ya kisiasa ... vuguvugu la Ukombozi wa Watu wa Sudan-Kaskazini la adui wao wa zamani ...
Serikali ya Sudan imeikosoa vikali Kenya kwa kuwa mwenyeji wa utiaji saini wa mkataba wa kisiasa kati ya wanamgambo wa RSF na washirika wao, mkataba unaolenga kuunda serikali mbadala katika maeneo ...
Kenya inasema mpaka huo unafaa kufuata mstari ... kisiwa cha Migingo Mnamo katikati ya mwezi februari mwaka wa 2021 Sudan ilimuita balozi wake nchini Ethiopia baada ya nchi hizo mbili kufufua ...
Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wameonesha kupinga tangazo la kuundwa kwa serikali mbadala ya Sudan na waasi ...
KENYA: TAKRIBAN watu wanne wamejeruhiwa kwa risasi baada ya polisi kukabiliana na waandamanaji katika kambi ya wakimbizi ...
当前正在显示可能无法访问的结果。
隐藏无法访问的结果